Je, kuna faida zozote za kuvaa viatu? Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    7,124 views
    Dkt. Hamisi Ali Kote ni daktari bingwa wa mifupa, na amekuwa na utamaduni wa kutembea bila kuvaa viatu yaani pekupeku kwa madai ya kuwa hakuna faida yoyote ya kuvaa viatu zaidi ya kujitafutia magonjwa. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw