Nani atabeba kombe la UEFA Champions League? Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    12,018 views
    Ni chini ya saa 24 ambapo kabumbu litasakatwa jijini Munich Ujerumani. Mafahali wawili wataminyana vikali kulisaka kombe la michuno ya klabu bingwa barani Ulaya ambapo mshindi hataishia kupigiwa makofi tu bali pia, kuna kitita kizito kitapiganiwa. Je, nani mkali kati ya Inter Milan ya Italia na Paris Saint-Germain yaani PSG ya Ufaransa? Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw