Zaidi ya watu 700 wamefariki kwa mafuriko Nigeria, katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    12,810 views
    Idadi ya waliofariki katika mafuriko makubwa kuwahi kushuhudiwa nchini Naigeria katika muda wa miaka 60 inaaminiwa kuwa zaidi ya watu 700, huku mamlaka zikisema kwamba watu mia tano hawajulikani walipo. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw