Tazama dereva wa pikipiki alivyonusurika kwenye ajali mbaya ya gari
Onyo: video hii ina picha za kutatanisha
Je unadhani uhasama kati ya wenye magari na bodaboda ni hapa kwetu tu? 😲💥 🎬🏍️
Mwendesha pikipiki alikuwa akavurumisha kitu kwa kasi akiwa anampelekea mteja chakula, ghafla gari likapinda kulia – boom! – akagonga gari lililokuwa likigeuza barabarani, akarushwa juu hewani kama mwigizaji kwenye “stunt ya filamu kama zile za Rambo”!
Baada ya kugundua bado anapumua, jamaa akanyanyuka kama mchezaji wa WWE, akapiga mashini moto na kuendelea na safari kama hakuna kilichotokea! 😎👣
Ripoti zinasema hana majeraha makubwa. Na kilichomwokoa? Kofia ya usalama!
Kwa hiyo ndugu zangu, si tu chakula kilifika salama – hata dereva wake alifika salama… kwa mtindo wa "Mission: Im-pikipiki!" 😂🍕🛵
Somo la leo? Kofia ya usalama si mapambo – ni kinga ya kichwa chako! 🪖
#bbcswahili #argentina #ajalibarabarani
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
5 Jun 2025
- Rutoeulogised the late leader as one with zeal and commitment to his people.
5 Jun 2025
- The ruling puts an end to a debate that has dominated the country for months.
5 Jun 2025
- The changes were announced on Thursday.
6 Jun 2025
- Islamist militants hit two more military installations on Wednesday and Thursday, Mali's army said, the latest in a quick spate of attacks that the insurgents say have killed hundreds of soldiers and underscored their gains.
6 Jun 2025
- The World Bank said on Thursday it would resume funding to Uganda, nearly two years after the global lender suspended new financing to the country in response to an anti-LGBT law that imposes penalties including death and life imprisonment.
6 Jun 2025
- Ethiopia's cabinet has approved a nearly 2 trillion birr ($15 billion) budget for the 2025/26 financial year starting in July, a 31% increase from the previous year, the Prime Minister's office said on Thursday.
6 Jun 2025
- South Sudan's President Salva Kiir on Thursday declared a state of emergency in areas hit by deadly inter-communal clashes over cattle raids that have killed hundreds of people in recent months, state TV said.
6 Jun 2025
- How Mbadi intends to reduce Kenya's budget deficit, manage debts
6 Jun 2025
- State House talks mark Orengo's silent shift to Ruto, Raila wing
6 Jun 2025
- Mandago offered to sell land to refund Sh1.1 billion education scam victims, court told
6 Jun 2025
- From backyard to business: How one cow led this couple into dairy farming success
6 Jun 2025
- Mediheal was not alone in the organ trafficking syndicate, MPs told
6 Jun 2025
- Kindiki defends record ahead of President's visit to Ukambani