Zaidi ya Familia 150 zakadiria hasara Kiamaiko

  • | Citizen TV
    1,369 views

    Zaidi ya familia 150 kutoka kijiji cha Ex-Grogon eneo la Kiamaiko kaunti ya Nairobi zimeachwa bila makao baada ya nyumba zao kuteketea usiku wa kuamkia leo