Bill Gates akigawa utajiri wake Afrika, nani atafaidika? Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    17,630 views
    Bilionea Bill Gates ametangaza kwamba atatoa karibia utajiri wake wote wa dola bilioni 200 kwa bara la Afrika katika kipindi cha miaka 20 ijayo. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw