Uingereza kuitambua Palestine kama taifa huru. Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    8,423 views
    Uingereza yasema itaitambua Palestine kama taifa huru ifikapo mwezi wa septemba ikiwa Israel haitowacha kuishambulia Gaza. Jeshi la Israel linaendelea na mashambulizi yake Gaza, likianzisha mashambulizi mabaya zaidi hii leo Jumanne.