Canada, Ufaransa na Uingereza kutambua Palestina kama taifa huru. Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    8,046 views
    Mjumbe maalum wa Marekani katika eneo la Mashariki ya Kati, Steve Witkoff, amekutana na Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu,huku Marekani ikisema itaweka vikwazo kwa Mamlaka ya Palestina ambayo ilianzishwa kupitia makubaliano ya amani ya Oslo, na Shirika la Ukombozi wa Palestina (PLO) - ambalo lilitambuliwa kama mwakilishi rasmi wa watu wa Palestina, kwa kukataa kusitisha mapigano na kuitambua Israel.