Mataifa ya Afrika yaanza kuumia kwa ushuru wa Trump, katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    2,706 views
    Ushuru mpya wa Rais Donald Trump ambao Marekani unatoza kwa zaidi ya mataifa 90 kote duniani umeanza kutekelezwa. Nigeria, Ghana, Cameroon na Ivory Coast sasa wanatozwa ushuru wa asilimia 15. Kenya inatozwa ushuru wa asilimia 10, sawia na Rwanda na Gambia. Nayo Afrika Kusini inakabiliwa na ushuru wa asilimia 30. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw