Wanahabari 5 wauawa katika shambulizi la Israel huko Gaza, katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    2,608 views
    Maafisa wa afya wa Palestina huko Gaza wanasema zaidi ya watu 20 wameuawa katika mashambulizi ya anga ya Israel yaliyolenga Hospitali ya Nasser katika mji wa kusini wa Khan Younis. Wanahabari 5 ni miongoni wa wale waliouawa. Jeshi la Israel limethibitisha kwamba shambulio lilifanyika katika eneo la hospitali ya Nasser na sasa linafanya uchunguzi wa haraka. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw