Matapeli wahangaisha wamiliki wa ardhi huko Bungoma

  • | Citizen TV
    224 views

    Serikali kupitia wizara ya ardhi imetakiwa kuwachukulia hatua madalali na mashirika yanayojihusisha na uuzaji na ununuzi wa ardhi eneo la musikoma Bungoma.