Matatizo ya kisheria ya Donald Trump yazidi kuongezeka

  • | VOA Swahili
    528 views
    Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump anadai kusumbuliwa kisiasa baada ya idara ya upelelezi FBI kufanya ukaguzi kwenye makazi yake huko Mar a Lago Florida siku ya Jumatatu katika kile ambacho kilionekana kuwa sehemu ya uchunguzi wa muda mrefu kubaini kama aliziweka nyaraka rasmi nyumbani kwake badala ya kuzipeleka kwenye hifadhi za nyaraka za kitaifa baada ya kuondoka madarakani.