Matembezi ya kila mwaka ya Iftar I Madhumuni ni kuchanga pesa ili kusaidia familia zenye mahitaji

  • | KBC Video
    20 views

    Waumini wa dini ya kiislamu wamehimizwa kuzingatia ukarimu huku wakielekea kwenye mwezi mtukufu wa Ramadhan kwa kusaidia familia zisizojiweza kupata chakula wanapovunja saumu yao. Miito hii ilitolewa wakati wa matembezi ya 7 ya kila mwaka ya Iftar yaliyoandaliwa Jumapili jijini Nairobi kuchangisha shilingi milioni 30 kwa ajili ya kulisha familia 5,000 zisizojiweza jijini Nairobi wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadhani ambao utaanza mapema mwezi Machi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive