Matibabu ya bila malipo yaendelezwa huko Kisii

  • | Citizen TV
    235 views

    Mgomo wa madaktari na wauguzi unapoendelea kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa, washikadau mbalimbali maeneo ya Nyaribari Masaba wanatumia fursa hiyo kuandaa matibabu ya bila malipo kwa jamii ili kuwahudumia wakongwe wasiojiweza.