Bodi ya Mitihani ya Wataalamu wa Usimamizi wa wafanyakazi imetangaza matokeo ya mitihani ya CHRP na CBET ya mwaka 2025, katika kikao chake kikubwa zaidi tangu kuanzishwa mwaka 2017. Afisa mkuu Mtendaji, Margaret Nguu, amesema kuwa zaidi ya watahiniwa 1,800 kote nchini walifanya mitihani hiyo, lakini hatua iliyopigwa mwaka huu ni zaidi ya viwango vya ufaulu.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive