Matokeo ya uchaguzi Kenya 2022: Uchaguzi utaathiri biashara?

  • | BBC Swahili
    599 views
    Kwa wale wenye biashara ndogo ndogo, kila wakati wa uchaguzi, wateja biashara huenda ikapungua. Lakini hii sio kumaanisha kwamba hakuna kitu mwenye biashara anaweza kufanya kujikimu. Utamudu vipi biashara yako baada ya uchaguzi? #bbcswahili #ujasiriamali #uchaguzi