- 11,006 viewsDuration: 2:24Polisi kaunti ya Nyamira wameanzisha msako wa kijana mmoja mwenye umri wa miaka 23 aliyekiri kumuuwa msichana mmoja na kuuzika mwili wake katika eneo la Nyamaiya, West Mugirango, kaunti ya Nyamira. Familia, jamaa na majirani walimeshinda katika eneo ambalo kaburi hilo linaaminika kuwa ili shuhudia kufukuliwa kwa mwili wa msichana huyo. Shughuli hiyo inatarajiwa kuanza muda wowote ule