Mauaji ya Daniel Nderitu Nakuru

  • | Citizen TV
    4,104 views

    Familia ya Daniel Nderitu,Jamaa anayedaiwa kupigwa risasi na maafisa wa polisi eneo la London, Nakuru Magharibi imejitokeza waziwazi kukashifu mauwaji ya kiholela ya Jamaa wao siku tatu zilizopita. Familia inataka haki kutendeka Na maafisa wanaodaiwa Kuhusika kufungwa.