Mauaji ya Mbunge wa Kasipul I Mahakama yaruhusu DCI kumzuilia mwanabiashara Philip Aroko

  • | KBC Video
    210 views

    MfanyabiasharaPhilip Aroko atazuiliwa kwa muda wa siku 7. Hii ni baada ya afisi ya mkurugenzi wa mashtaka ya umma kuifahamisha mahakama kwamba uchunguzi wa awali ulibainisha maswala mbalimbali yanayomhusisha Aroko na mauaji ya marehemu mbunge wa Kasipul Charles Ong’ondo Were. Na jinsi mwanahabari wetu Ruth Wamboi anavyotuarifu mahakama ilifahamishwa pia kuwa Aroko ameibuka kuwa mshukiwa mkuu kutokana na madai ya kumtishia mbunge huyo aliyeuawa na pia kufadhili na kupanga mauaji hayo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive