Mauaji ya Mirema

  • | K24 Video
    19 views

    Wenyeji huko Baringo Kaskazini wana wasiwasi wa shule kufungwa baada ya mwanamke kushambuliwa na majambazi. Kwengineko polisi Butere wanamzuilia mwanamume anayedaiwa kumbaka msichana wa gredi ya tatu na kusababisha kifo chake.