Mauaji ya mtoto Pendo

  • | Citizen TV
    108 views

    Mahakama kuu imewaagiza maafisa wa polisi wanaoshukiwa kuhusika na mauaji ya mtoto Pendo kutofika katika eneo la mkasa huko Nyalenda, Nyamasaria, na Nyawita, kaunti ya kisumu.