Skip to main content
Skip to main content

Mauaji ya Tsekuru: Utulivu Waanza Kurejea Kamari Baada ya Vifo 7

  • | Citizen TV
    1,566 views
    Duration: 43s
    Utulivu umeanza kurejea katika kijiji cha kwa kamari, eneo la Tseikuru, kaunti ya Kitui, siku mbili baada ya shambulio kati ya makundi mawili kusababisha vifo vya watu saba na wengine kujeruhiwa.