Mshukiwa wa mauaji katika hospitali ya Kenyatta ashitakiwa, atakiwa kufanyiwa tathmini ya akili

  • | Citizen TV
    572 views

    MSHTAKIWA WA MAUAJI YA WAGONJWA NDANI YA WODI KATIKA HOSPITALI YA KITAIFA YA KENYATTA, KENNEDY KALOMBOTOLE, AMESHTAKIWA KWA KOSA LA MAUAJI. HATA HIVYO, MSHTAKIWA HUYO HAJAKIRI WALA KUKATAA MASHTAKA, MAHAKAMA IKIAMRISHA AFANYIWE TATHMINI YA AFYA YA AKILI KABLA YA KESI YAKE KUANZA