Mauti yazima ndoto ya Francis Kabuga ya KDF

  • | K24 Video
    125 views

    Familia ya Francis Wachira Kabuga aliyezirai na kisha kuaga dunia aliposhiriki zoezi la kujiunga na jeshi huko kirinyaga inamuomboleza. Kulingana na familia ya mwendazake, mauti yalikatiza ndoto ya mwendazake aliyetamani sana kujiunga na jeshi. Haya yanajiri huku shughuli ya usajili wa makurutu inayoendelea kote nchini ikitarajiwa kukamilika kesho.