Kamati ya mawakili wa hadhi ya juu almaarufu ‘Senior Counsels’ imewapendekeza mawakili 54 kutuzwa taji hilo. Miongoni mwa mawakili maarufu kwenye orodha hiyo ni Spika wa bunge la kitaifa Moses Wetang’ula, Rais wa chama cha mawakili humu nchini LSK, Faith Odhiambo, aliyekuwa gavana wa kaunti ya Makueni Profesa Kivutha Kibwana na aliyekuwa wakili mkuu wa serikali Kennedy Ogeto.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive