Mawakili wa kike waonya kuhusu ongezeko la mauaji

  • | Citizen TV
    980 views

    Chama cha mawakili wa kike FIDA kimekashifu visa vya mauaji ya wanawake wawili katika nyumba za kukodi za Airbnb maeneo ya roysambu na South B chini ya muda wa wiki mbili.