MAWASCO inakadiria hasara kutokana na wizi wa maji

  • | Citizen TV
    216 views

    Kampuni ya usambazaji Maji mjini Malindi MAWASCO inakadiria hasara kutokana na idadi kubwa ya wakazi wanaotumia njia za mkato kupata maji