'Kama waliteswa waende wakashtaki'

  • | BBC Swahili
    19,385 views
    Kamanda wa Polisi Kanda maalum ya Dar es salaam Jumanne Muliro ameiambia BBC kuwa wanaharakati kutoka Kenya na Uganda Boniface Mwangi na Agatha Atuhaire kama waliteswa basi waende kushtaki katika mamlaka husika. Muliro ameongeza pia madai yao ni ya kiunaharaki na ni maoni yao. Wanaharakati hao walieza jinsi walivyoteswa na mamlaka za polisi nchini Tanzania kabla ya kurudishwa katika nchi zao. #bbcswahili #tanzania #kenya Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw