Zaidi ya Wauguzi Wanafunzi waandamana

  • | Citizen TV
    173 views

    Wauguzi wanagenzi zaidi ya mia tatu kutoka maeneo wameandamana hadi makao makuu ya wizara ya afya kushinikiza kupewa barua za kuwaruhusu kuendelea na masomo yao nyanjani