- 521 viewsDuration: 5:05Wakenya walijitokeza kwa wingi katika uwanja wa michezo wa Nyayo kuadhimisha miaka 62 tangu Kenya kujinyakulia uhuru kutoka kwa wakoloni. Wengi walikuwa na matarajio si haba kuhusu hotuba ya Rais wakitazamia kwamba angezungumzia masuala kuhusu maendeleo ya vijana, umoja wa kitaifa na ustawi wa uchumi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive