Mawaziri wawili wairai jamii ya wakamba kuhama upinzani

  • | KBC Video
    44 views

    Mawaziri Peninah Malonza na Simon Chelugui,wametoa wito kwa jamii ya wakamba ihame kutoka upinzani na kuiunga mkono serikali iliyo mamlakani.Wakiongea wakati wa harambee ya kuwasaidia wanawake iliyoandaliwa mjini Kitui, mawaziri hao walisema eneo hilo limesalia nyuma kimaendeleo kwasababu viongozi wake wa kisiasa hawajakuwa serikalini.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive