Mazishi ya mtoto wa miaka 12 aliyeuwawa Ukingo wa Magharibi, Mpalestina ajisalimisha
Wananchi wa Israeli walifanya mazishi mjini Jerusalem ya mtoto wa miaka 12 Yehoshua Aharon Tuvia Simha, ambaye aliuwawa katika shambulizi la bunduki kwenye basi katika eneo linalokaliwa kimabavu huko Ukingo wa Magharibi siku ya Alhamisi
Shambulizi hilo lilitokea kati ya saa sita usiku Jumatano na mapema Alhamisi, na watu wasiopungua wanne walijeruhiwa.
Jeshi la Israeli lilisema kuwa katika kumfuatilia mtu huyo aliyefanya shambulio hilo, Mpalestina huyo alijisalimisha kwa vyombo vya usalama.
Ghasia huko Ukingo wa Magharibi tayari ziliongezeka kabla ya vita vya Gaza kuanza Oktoba 7 mwaka jana na zimeendelea kuongezeka tangu wakati huo, huku kukiwepo uvamizi wa mara kwa mara wa jeshi la Israeli, ghasia zinazofanywa na walowezi wa Kiyahudi na mashambulizi ya mitaani yanayofanywa na Wapalestina dhidi ya Waisraeli. -Reuters
#israel #wapalestina #shambulizi #vifo #Nuseirat #gaza #hamas #mateka #voa #voaswahili #mtoto #ukingowamagharibi
17 Jun 2025
- Rescue efforts are underway.
17 Jun 2025
- The matatu operators promised to halt transport services until their demands are met.
17 Jun 2025
- Protests on Tuesday took a violent turn after goons stormed the Nairobi CBD.
17 Jun 2025
- Siaya Resident Magistrate’s Court has ordered blogger Michael Oduor, also known as Mike Ochieng, to pay Ksh.3 million in general damages for defamation.
17 Jun 2025
- The government has swiftly responded to a devastating fire that broke out at Stage Woria in Kawangware, Nairobi, claiming one life and rendering 14 families homeless.
17 Jun 2025
- Anti-riot police officers on Tuesday opened fire at a hawker selling face masks at close range along Moi Avenue in Nairobi CBD during the demonstrations calling for the resignation of Deputy Inspector General Eliud Lagat.
17 Jun 2025
- Rescue efforts are underway.
17 Jun 2025
- Seven police officers suspected of shooting and killing Daniel Mwangi in London Estate, Nakuru, on June 9, have been detained for seven more days, pending investigations by Independent Policing Oversight Authority (IPOA).
17 Jun 2025
- The Bill had also called for a review of statutory deductions, such as the NHIF, NSSF, and housing levy, to a progressive structure
17 Jun 2025
- Sundowns striker Shalulile targets goals and glory at FIFA Club World Cup
17 Jun 2025
- Court rules that Mr Wilfred Nyagudi suffered reputational harm as a result of the posts which first appeared on Facebook.
17 Jun 2025
- School Games: All eyes on Asumbi Girls ahead of Homa Bay County games in Mbita
17 Jun 2025
- Reports link Eritrea to weapons supply route for Sudan army