Mazungumzo kati ya madaktari na serikali yakwama tena

  • | Citizen TV
    1,823 views

    Mazungumzo ya kutafuta suluhu kwa mgomo wa madaktari kati ya waakilishi wa chama cha madaktari nchini KMPDU na serikali yamefeli kwa mara nyingine. Hii ikiashiria kuwa, hakuna afueni kwa mgomo wa madaktari unaoendelea kwa siku ya 13 hii leo.