Mazungumzo ya kitaifa

  • | Citizen TV
    322 views

    Huku shinikizo la mazungumzo ya kitaifa likiendelea kushika kasi, muungano wa mashirika ya kutetea haki za kibinadamu Pwani unakongamana kujadili msukumo huo. Baadhi ya masuala tata yanayotazamiwa kujadiliwa ni mauwaji na haki kwa walioangamia katika maandamano na utekelezaji wa ahadi zilizotolewa