Mazungumzo ya marika

  • | Citizen TV
    1,746 views

    VIONGOZI WA KENYA KWANZA WAMEUNGA MKONO MSIMAMO WA RAIS WILLIAM RUTO KUWAKABILI WALE WANAOHARIBU MALI YA WAKENYA KWA KISINGIZIO CHA MAANDAMANO NCHINI. AIDHA, VIONGOZI HAWA WAKIJUMUISHA NAIBU RAIS KITHURE KINDIKI PIA WAMEUNGA PENDEKEZO LA KINARA WA ODM RAILA ODINGA KUWEPO KWA MAZUNGUMZO YA MARIKA TOFAUTI KAMA SULUHU YA ATI ATI INAYOSHUHUDIWA NCHINI. VIONGOZI HAWA WALIKUWA WAKIZUNGUMZA KATIKA HAFLA TOFAUTI KAUNTI ZA NAROK, KIAMBU NA MIGORI.