- 852 viewsDuration: 1:13Waziri wa fedha John Mbadi amepuuzilia mbali uamuzi wa bunge wa kusitisha agizo lake la kuwataka maafisa wote wa serikali kuu na kaunti kutumia mfumo mpya wa kieletroniki wa kutoa kandarasi 'egp' akisisitiza kuwa bunge halina mamlaka ya kubatilisha amri ya serikali.