Mbadi: Wakenya hawatozwa ushuru zaidi

  • | NTV Video
    1,869 views

    Waziri wa fedha John Mbadi leo hii amewasilisha makadirio ya bajeti wa mwaka 2025/2026 Bungeni, akifichua ukuaji wa uchumi wa asilimia 5.3. Katika bajeti ya shillingi trilioni 4.291, sekta ya elimu inatarajiwa kupata mgao mkubwa zaidi kwa shillingi bilioni 702.7 sawa na asilimia 28.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya