- 891 viewsDuration: 2:02Makala ya thelathini mbili ya mashindano ya kimataifa ya Ngamia yamezinduliwa Leo rasmi kwenye Kaunti ya Samburu na waziri wa utalii nchini Rebecca Miano na kuwavutia washirika wa kimataifa pamoja na wenyeji. Mwanahabari wetu Bonface Barasa anaarifu zaidi kutoka Samburu.