- 248 viewsDuration: 3:33Juhudi za familia tatu kutoka eneo la Lenkisima Kaunti ya Kajiado kupinga kuidhinishwa kwa uhamisho wa usimamizi wa Mbuga ya kitaifa ya Amboseli hadi kwa serikali ya kitaifa mwaka wa 1974 zimetambuliwa na kupewa tuzo baada ya Mbuga hiyo kurejeshwa kwa jamii ya maa mwaka jana.