Mbuga ya Mara Hatarini: Shughuli za binadamu zaathiri Ikolojia

  • | KBC Video
    30 views

    Serikali imewekeza zaidi katika utafiti wa kisanyansi katika juhudi za kutoa muongozo wa wa sera kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa katika mbuga ya kitaifa ya Masai Mara, ambapo wanyama pori wameathirika zaidi. Shinikizo zinaendelea kuongezeka kwa serikali kudhibiti shughuli za kibinadamu katika eneo hilo muhimu kwa utalii,wanamazingira wakionya hali hiyo ni tishio kubwa kwa mfumo wa ikolojia katika mbuga hiyo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News