Skip to main content
Skip to main content

Mbunge David Gikaria atakiwa kufika mbele ya IEBC kwa madai ya kuwahonga wapiga kura Ol Kalou

  • | KBC Video
    104 views
    Duration: 2:51
    UADILIFU WA UCHAGUZI Mbunge wa Nakuru mjini David Gikaria atafika mwenyewe binafsi mbele ya kamati ya kudumisha sheria za uchaguzi ya tume ya IEBC, kujitetea kutokana na madai dhidi yake kuhusiana na utoaji hongo kwa wapiga kura wakati wa kampeini za uchaguzi mdogo wa Ol Kalou.Ikimuagiza kufika mbele yake,kamati hiyo ilikataa kuendelea na vikao vyake baada ya Gikaria kuwatuma waakilishi wake mara mbili kumwakilisha mbele ya kamati hiyo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive