Mbunge Elsie Muhanda ataka vituo vya kulinda watoto visifungwe

  • | Citizen TV
    260 views

    Mwakilishi wa kike kaunti ya Kakamega Elsie Muhanda ametoa wito kwa serikali ya kitaifa kuangazia upya swala la kufunga vituo vya makao ya watoto ya watu binafsi nchini kabla ya kuweka msingi sawa.