Skip to main content
Skip to main content

Mbunge Machele aikemea vikali hospitali ya rufaa ya Pwani kufuatia madai ya utepetevu

  • | NTV Video
    418 views
    Duration: 1:35
    Mbunge wa Mvita Mohammed Machele ameikemea vikali hospitali ya rufaa ya Pwani kufuatia malalamishi kutoka kwa familia moja jijini Mombasa, inayodai kuwa jamaa yao alipoteza maisha kutokana na kile wanachokitaja kama uzembe na kucheleweshwa kwa matibabu . Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya