- 1,504 viewsDuration: 3:18Mbunge wa Lugari, Nabii Nabwera Daraja, amewasilisha kesi ya kuharibiwa sifa dhidi ya Naibu Gavana wa Kakamega, Ayub Savula, akimshutumu kwa kutoa kauli hadharani inayodokeza kuwa huenda mbunge huyo anaugua ugonjwa wa UKIMWI. Mbunge huyo amesema maneno ya Savula ni ya uongo na yana madhara. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive