Mbunge wa chama ODM wakemea kifo cha mwanablogu Albert Ojwang

  • | Citizen TV
    1,182 views

    Wabunge wa chama cha ODM wamekashifu kifo tata cha albert ojwang wakisema ongezeko la vifo vya vijana mikononi mwa maafisa wa polisi inaogofya. Wakiongozwa na kiranja wa wachache bunge la kitaifa, milly odhiambo wabunge hao sasa wanamtaka rais william ruto kuhakikisha polisi waliohusika wanawajibikia kifo chake.