Mbunge wa Daadab Farah Maalim atimuliwa kutoka kwa chama cha Wiper

  • | K24 Video
    310 views

    Mbunge wa Daadab Farah Maalim ametimuliwa kutoka kwa chama cha wiper kwa kile kinachodaiwa ni ukiukaji wa maadili ya chama. Mbunge huyo pia atatakiwa kufika katika makao makuu ya tume ya mshikamano wa kitaifa NCIC baada ya tume hiyo kumtaka ajieleze kuhusu kanda ya video inayomnasa akitoa matamshi ya chuki yanayolenga vijana wa gen z na maandamano yao.