Mbunge wa Fafi alaumu UNHCR kwa kupunguza chakula

  • | Citizen TV
    188 views

    Mbunge wa Fafi Salah Yakub amekosoa uamuzi wa shirika la kusimamia wakimbizi eneo la Dadaab UNHCR wa kupunguza kiasi ya chakula walichokuwa wakipokea wakimbizi hao