Mbunge wa Kabuchai Majimbo Kalasinga awakosoa mawaziri kuhusu gharama ya maisha

  • | Citizen TV
    869 views

    Baadhi ya wabunge katika mrengo wa Kenya kwanza wanaendelea kushutumu utendakazi wa mawaziri kwa kile wanachosema hawafuati Sheria wanapotekeleza wajibu wao wa kikazi. mbunge wa hivi punde kuteta kuhusu utendakazi wa mawaziri ni mbunge wa kabuchai majinbo kalasinga ambaye anasema mawaziri wanaendeleza hulka ya kubuni Sheria kiholela bila kuhusisha bunge na hivyo kuwawekea mzigo wakenya bila ya kujali gharama ya maisha ilivyo Sasa.