- 2,390 viewsDuration: 1:35Mbunge wa Laikipia Mashariki Mwangi Kiunjuri ametetea kauli za Rais William Ruto akisema kuwa viongozi wa upinzani walivuka mipaka na hivyo hawapaswi kutarajia kunyamaziwa huku akisisitiza kuwa Rais ana haki ya kujibu anapochokozwa moja kwa moja