Mbunge wa Naivasha Jane Kihara akamatwa

  • | KBC Video
    32 views

    Mbunge wa Naivasha Jane Kihara amekamatwa na maafisa wa idara ya upelelezi wa jinai kwa madai ya kukaidi mwaliko wa kufika mbele yake kuhusiana na madai ya uchochezi na kubeza mamlaka ya afisa wa umma.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive